MWANA FA AFUNGUKA DIAMOND ANA HAKIKA YA KUWALALAMIKIA KILI AWARD 2015
Staa wa Hip Hop Bongo,Hamis Mwinjuma amesema kuwa Staa wa Bongo,Diamond ana haki ya kutoa maoni na malalamiko yake kuhusu tuzo za muziki za Kilimanjaro(KTMA) za mwaka huu. Akizungumza kwenye kipindi cha Leo Tena,alisema kilichomtokea
Diamond hata yeye kilimtokea wakati alipotoa wimbo wake wa ‘Bado Nipo Nipo Kwanza’ ulifanya vizuri wakati huo lakini jina lake halikuwepo kwenye tuzo hizo.
No comments:
Post a Comment