25 May 2015

MDAU AFUNGUKA KUHUSIANA NA TEAM WEMA

Samahani kwa usumbufu@mrekebishatabia.. Kupitia makubwa haya blog.mm binafsi nampenda sana wemasepetu na team yake... Ila kuna watu hawajui nini maana ya timu....sasa ukishakua unampenda mtu me nafikri ukimsapotiyy inatosha kwann wasiwe kama wemadaily au wemareply jaman.... Watu wanaojiita timu wema af wanaongea vitu vya wengine mm wananikera sana. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname