Kwa mujibu wa TMZ, familia hiyo ilionekana jana tarehe 14 April, 2015 nje ya kanisa la ubatizo la Saint James Cathedrol lililopo mji mkuu wa Israel Jerusalem, taarifa zinasanua kuwa tukio hilo lilichukua takribani kama masaa mawili huku umati mkubwa wa mashabiki na wa waumini wa kanisa hilo walikusanyika nje kwa wingi.
Mtoto wa Kim pamoja na Kanye West North West,ana umri wa miezi ishirini na miwili
Ubatizo huo unafanyika kipindi ambacho Kanye West ana husishwa na taarifa za mara kwa mara akidaiwa kuanzisha dini yake, n ahata yeye kukiri hayo katika interviews kadhaa

No comments:
Post a Comment