15 August 2013

Breaking News: Nyumba 6 zimechomwa moto katika Kijiji cha VODA ,Tarafa ya Mbwewe Mkoani Pwani,baada ya wanakijiji kuvamia gari la mizigo

Breaking News: Nyumba 6 zimechomwa moto katika Kijiji cha VODA ,Tarafa ya Mbwewe Mkoani Pwani,baada ya wanakijiji kuvamia gari la mizigo lililokuwa limebeba mitumba kuanguka na kufunga barabara lililoanguka na kufunga barabara ambapo wakazi hao walianza kupora hali iliyosababisha wenye mizigo kuingia
kijijini kuwasaka waliopora mizigo hiyo.

Kamanda wa usalama barabarani Chalinze Afande Sule amesema sehemu ya barabara hiyo ya Chalinze-Segera imefungwa na kusababisha abiria kutoka Dar Es Salaam kwenda tanga,Kilimanjaro na Arusha kukwama.


source-ITV

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname