21 April 2015

DIAMOND AKIRI KULIFAHAMU TATIZO LA WEMA LA KUTOPATA MTOTO

Kwa muda mrefu, Diamond Platnumz alikuwa akilijua tatizo la mpenzi wake wa zamani Wema Sepetu la kutoshika mimba.
Akiongea na kipindi cha Ng’ari Ng’ari cha Clouds TV, Diamond alisema wakati wako pamoja waliwahi

kuzunguka kwa wataalam mbalimbali kujaribu kupata tiba lakini hawakufanikiwa.
Alisema ilifika wakati alimweleza tu kuwa akubali hali hiyo.

SOMA ZAIDI>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname