21 April 2015

BELLA, ALLY KIBA, OMMY DIMPOZ WAFUNIKA ESCAPE ONE

Shabiki akifanya mavitu yake mchangani baada ya kunogeshwa vilivyo..

Mmoja wa mashabiki waliodatishwa na burudani hiyo.


Bella akikamua.
Alicious akiimba kibao chake maarufu cha ‘Ya Bolingo’.Ally Kiba akifanya vitu vyake.Ommy Dimpoz akiwajibika.Ommy Dimpoz na mmoja wa mashabiki wakifanya mavituz.Bella na Ommy Dimpoz wakiimba kibao kiitwacho ‘Nani Kama Mama’.
Mashabiki wakijimwaya
MWANAMUZIKI wa dansi, Christian Bella pamoja na wasanii wa muziki wa kizazi kipya Ally Kiba, Ommy Dimpoz, na wengineo usiku wa kuamkia jana walifanya makamuzi ya nguvu na kuwadatisha mashabiki waliofurika kwenye Ufukwe wa Escape One, Mikocheni jijini Dar es Salaam waliposhirikiana na mwanamuziki Alicios Theluji katika burudani la kukata na shoka.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname