Picha,Familia ya Chameleone kanisani wakati anaagwa mdogo wake Emmanuel Mayanja Hummertone ‘Ak47′.
Msanii Jose Chameleone na familia ya Mayanja wakiwa kwenye kanisa la
Lweza Catholic Cathedral kwenye misa ya kumuada mdogo wao ambaye
alikuwa msanii pia Akay47 [ Emmanuel Mayanja Hummertone ] aliyefariki
usikuwa wa March 16 huko Uganda akiwa kwenye bar ya Rhyno alipokwenda
kutangaza wimbo wake mpya.
No comments:
Post a Comment