17 March 2015

Picha: Hiki ndicho alicho kisema Diana Elizabeth Michael 'Lulu' akiambatanisha na picha ya Justin Bieber

Kama inakubukwa kuhusiana na ile story ya msanii wa filamu hapa nchini Diana Elizabeth Michael maarufu kwa jina laLulu kuwa alikuwa anamkubali mwimbaji wa Canada ambaye anafanya kazi zake za kimuziki America, kijana  Justin Bieber na pia hata kuhitaji kuwa naye.

Kuanza week hii, Lulu ameianza kwa maneno tofauti na ilivyo tarajiwa akiwa kaambatanisha picha ya Justin Bieber. Lulu ameandika haya "Ts Monday aaaaayyyyt!????������ #MCM Uliamua kuni follow kwa Hiari Yako....vumilia Na Post Zangu Tafadhali ��Ahsante" huku akiwa kaambatanisha na picha hapo juu inayo onyesha mgongo wa Bieber.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname