Diamond pamoja na team yake nzima wakiwasili Bujumbura Airport tayari kwa kuanza tour yake ya nchini humo
Diamond akiwa na baadhi ya mashabiki wake waliofika Bujumbura Airport kumpokea

Baada ya kutoka Airport walielekea kwenye mkutano na waandishi wa habari
Diamnond akiongea na waandishi wa habari jinsi gani amejitaarisha kukidhi kiu ya mashabiki wake nchini humo
Mafia anzo Kwenye press conference akiongea jambo na Meneja wa Diamond Salaam
Mdau wa mitindo nchini Burundi akisikilizia wakati diamond akimjbu swali alilouliza
Dj Romy Jons na Mafia anzo Kwenye press conference
Press conference ikiendelea
Wadau mbali mbali wakifuatilia mkutano huo


















No comments:
Post a Comment