Mshambliaji wa klabu ya Simba na timu ya taifa ya Uganda,Emmanuel Okwi mwishoni mwa juma hili alifunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi Nakalega Florence.
Ndoa hiyo ilifungwa mwishoni mwa juma hili nchini Uganda na kuhudhuliwa na ndugu jamaa na marafiki.
Miongoni mwa waliohudhuria harusi hiyo ni afisa habari wa Azam FC Jaffer Idd pamoja mtangazaji wa kituo cha Azam TV Patrick Nyembera.
No comments:
Post a Comment