BREAKING NEWZZZ..... Ikulu yaitisha mkutano na wanahabari kesho Jumatatu 22 Desemba, 2014 Saa tatu kamili Asubuhi
- Mkutano huu utakuwa ni kabla ya Kikao cha Rais Kikwete na 'Wazee wa Dar es Salaam'
- Yahisiwa maamuzi mazito yanaweza kutangazwa asubuhi na kisha rais kutolea ufafanuzi akiongea na Wazee!
No comments:
Post a Comment