16 November 2014

MTOTO ALIYEGEUKA NYOKA AZUA BALAA GEITA


Mtoto mchanga mwenye umri wa miezi minne amezua kizaazaa cha aina yake, baada ya kuwapo taarifa kwamba mara kadhaa umbo lake limekuwa likigeuka na kuwa nyoka na mwili wake ukiendelea kudhoofu kutokana na kukataa kunyonya maziwa ya mama yake.
Mtoto huyo (jina lake tunalihifadhi kwa sasa), wiki iliyopita alivuta umati wa wakazi wa Kijiji cha Nkome mkoani Geita ambao walifurika ndani na nje ya Kanisa la AICT Nkome, lililopo kijiji hapo, kushuhudia maombi ambayo alikuwa akifanyiwa ili kumkomboa katika kile kilichotafsiriwa kuwa ni mateso dhidi yake.
Ilikuwa saa 4.00 asubuhi Jumamosi, Novemba 8 mwaka huu wakati mtoto huyo alipofikishwa katika kanisa hilo na kuanza kufanyiwa maombi na sababu ya hatua hiyo ikielezwa kuwa ni kutokana na kuwa na umbo la nyoka na kwamba matendo yake yanaashiria kwamba mwenye asili ya nyoka ndani ya roho yake.

Mtoto huyo alifikishwa kanisani hapo na mama yake mzazi, Sarah Silasi wakitokea Kijiji cha Ichile, Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, ambako alikimbia matukio yanayohusishwa na ushirikina.INAENDELEA>>>>>

1 comment:

  1. Another benefit for technology moving on day after day is, you can stay at home and purchase the watch you desire. Online stores deliver the product to your house. rolex replica Rupa Aggarwal is the famous writer rolex replica here i am explaining about it is natural that you need watches which have features like chronograph, lap-timing feature, replica watches sale a lot of storage space, stopwatch and so on. chanel replica you can stay at home and purchase the watches online you desire. A wristwatch is a piece of technology that is common to many people. fake chanel They are loved by one and all – men, women or kids, young or old. tag heuer replica Some wear it for its basic functionality to keep track of time to be able to finish each of their important tasks and planned activities in time.

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname