The Choice

08 November 2014

CHUCHU WA RAY AZUA TIMBWILI BARABARANI!

 Baby wa Vincent Kigosi ‘Ray’, Chuchu Hancy. Timbwili hilo lilitokea juzikati maeneo ya Kinondoni jijini Dar ambapo msichana huyo alikuwa akiendesha gari hilo aina ya Mark X nyeusi ambalo limefanana na la Ray, Chuchu alipoliona kwa mbali linaendeshwa na msichana, akaanza kulikimbiza. NI mkalia nyonga wa Vincent Kigosi ‘Ray’, Chuchu Hancy amezua timbwili la aina yake barabarani baada ya kukimbiza gari la msanii aitwaye Ester Kiama akijua ni gari la ‘bebi’ wake.Chanzo kilichoshuhudia ishu hiyo kimesema licha ya Chuchu kufanikiwa kulipata na ‘kuliziba’ kwa mbele gari hilo, aliumbuka pale alipolikagua na kugundua si la Ray.Alipoulizwa Chuchu na mwanahabari wetu kuhusu tukio hilo, alijibu kwa kifupi: “Jamani naomba hilo sipendi kulizungumzia.”
Baby wa Vincent Kigosi ‘Ray’, Chuchu Hancy. Timbwili hilo lilitokea juzikati maeneo ya Kinondoni jijini Dar ambapo msichana huyo alikuwa akiendesha gari hilo aina ya Mark X nyeusi ambalo limefanana na la Ray, Chuchu alipoliona kwa mbali linaendeshwa na msichana, akaanza kulikimbiza.
NI mkalia nyonga wa Vincent Kigosi ‘Ray’, Chuchu Hancy amezua timbwili la aina yake barabarani baada ya kukimbiza gari la msanii aitwaye Ester Kiama akijua ni gari la ‘bebi’ wake.


Chanzo kilichoshuhudia ishu hiyo kimesema licha ya Chuchu kufanikiwa kulipata na ‘kuliziba’ kwa mbele gari hilo, aliumbuka pale alipolikagua na kugundua si la Ray.Alipoulizwa Chuchu na mwanahabari wetu kuhusu tukio hilo, alijibu kwa kifupi:
“Jamani naomba hilo sipendi kulizungumzia.”
Posted by Jason at 12:00
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Comments system

Disqus Shortname

Social Widget

  • Instagram
  • The Choice
  • Twitter

Facebook

Flickr Widget

Boxed Version (yes/no)

IMG Scroll Animation (yes/no)

Widget Recent Post No.

Widget Random Post No.

Widget Recent Comment No.

PageNavi Results No.

Social Media Icons

  • choice

Ola

  • Download New Music
  • New Video
  • Nunua Gari Hapa
  • Contacts
New Video

Bofya hii PICHA kudownload APPLICATION YA The Choice

Bofya hii PICHA kudownload APPLICATION YA The Choice

pin blw

google analytics

Random Posts

Most Recent

Social Media Icons 2

  • The Choice

Contact us

Name

Email *

Message *


Total Pageviews

.

.

.

.

Popular

  • HATIMAYE MWISHO WA DUNIA UMEKARIBIA..!! FREEMASON WATOA TAMKO KUHUSU MWISHO WA DUNIA HII..!!
  • MAITI ZAKUTWA ZIMETELEKEZWA MUHUNGULA KAHAMA.
  • MADHARA YA MAFURIKO JIJINI DAR LEO
  • PICHA YA MITEGO YA SHAMSA FORD WA BONGO MUVI YAZUA GUMZO INSTRAGRAM....!ICHEKI HAPA....
  • DIAMOND PLATINUMZ ANENA MAZITO KUHUSU WEMA, AJIAPIZA KIFO! WEMA NAYE AJIBU MAPIGO!
  • TUNAOMBA RADHI KWA PICHA::MTOTO AKATWA VIBAYA USONI NA KITU CHENYE NCHA KALI MKOANI SONGEA.
  • ANGALIA PICHA YANAFANYIKA KWENYE CLUB ZA HUKO KENYA,WANAWAKE WALIVYOWATUPU JUKWAANI
  • PICHA TANO ZA MSANII SHILOLE LEO KUTOKA INSTAGRAM ZIKO HAPA.
  • Kwa Akina DADA: Hizi ndizo sababu kuu TANO za kwa nini Hauolewi mpaka sasa..
  • HIZI NDO PICHA ZILIZO VUJA ZA LUPITA NYONGO MALA BAADA YA KUWA STAR

Blog Archive

My Website List

Recent

Comments

Simple theme. Powered by Blogger.