09 November 2014

BAADA YA KUMPIGA CHINI WEMA, DIAMOND AJIWEKA KWA HUYU DADA BILIONEA NCHINI UGANDA

Photo: Where are my TZ people am in your town with #DiamondPlatnumz
 Story ilianza juzi mwanadada Zari alipopost picha wakiwa kwenye ndege yeye na Diamond,sasa leo zimepatikana picha zingine wote wakiwakwenye pose tofauti tofaut kama wapendanao wa siku nyingi,haijafahamika ni nini kinaendelea maana hakuna kati yao aliyesema chochote.,pengine wako location,ama ni video maana wote ni wazamziki.Time will tell,Zari anaaminika kuwa ndie msanii wa kike tajiri zaidi Africa mashariki,ni mfanyabiashara na mwanamziki.



No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname