The Choice

17 November 2014

AUNT LULU AKIRI MASTAA WA BONGO KUFANYA BIASHARA YA NGON*O MITANDAONI

‘Aunt Lulu’akiwa kwenye pozi.

MWANADADA mwenye umbo la utata Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ ameibuka na kueleza kwamba mastaa wamegundua njia mpya ya kujiuza ambayo ni kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.

Akistorisha na gazeti hili, Aunt Lulu alisema mastaa wengi wa kike wanajiuza kwenye
mitandao ambapo mapedeshee waliopo mikoa mbalimbali wakishaziona picha zao huwa wanawatafuta kwa udi na uvumba ambapo wanawapigia simu na kuwatumia fedha na tiketi za ndege ya kwenda na kurudi“Yaani mastaa wa kike hatulali unakuta pedeshee anakutumia tiketi ya ndege unamfuata mkoani ukienda usiku asubuhi umesharudi Dar unaendelea na mambo yako ndiyo maana unawaona wasanii wengi wa kike wana fedha lakini kazi wanazozifanya huzioni,” alisema Aunt Lulu
Posted by Jason at 07:59
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Comments system

Disqus Shortname

Social Widget

  • Instagram
  • The Choice
  • Twitter

Facebook

Flickr Widget

Boxed Version (yes/no)

IMG Scroll Animation (yes/no)

Widget Recent Post No.

Widget Random Post No.

Widget Recent Comment No.

PageNavi Results No.

Social Media Icons

  • choice

Ola

  • Download New Music
  • New Video
  • Nunua Gari Hapa
  • Contacts
New Video

Bofya hii PICHA kudownload APPLICATION YA The Choice

Bofya hii PICHA kudownload APPLICATION YA The Choice

pin blw

google analytics

Random Posts

Most Recent

Social Media Icons 2

  • The Choice

Contact us

Name

Email *

Message *


Total Pageviews

.

.

.

.

Popular

  • DOWNLOAD NA SIKILIZA WIMBO MPYA WA LINEX Ft. OMMY DIMPOZI - INGO
  • HII NDO VIDEO YA AGNES MASOGANGE
  • HATIMAYE JESHI LA POLIS WAMJIBU JOYCE KIRIA KUHUSU MADAI YAKE KWAMBA WAMWAMBIE ALIPO MUME WAKE
  • HATIMAYE KAULI YA FREEMAN MBOWE YAANDIKWA KWENYE MAGARI...SOMA ALICHOSEMA HAPA
  • DAU NONO LIMETOLEWA KWA WATAKAO WABAINISHA WALE WALIO MVUA MWANADADA NCHINI KENYA
  • MOZA AKANA KUMREKODI EDZENI AKIWA UCHI,TCRA WAJITOSA
  • DIAMOND PLATINUMZ ANENA MAZITO KUHUSU WEMA, AJIAPIZA KIFO! WEMA NAYE AJIBU MAPIGO!
  • PREZOO AONGOZA KWA KURA BBA HADI SASA...ANGALIA IDADI YA KURA ALIZOWAZIDI WENZIE
  • NEW VIDEO By DULLY SYKES-BIBERON
  • ZARI NA DIAMOND MAPENZI MOTOMOTO,MAMA DIAMOND AMPOKEA VIZURI MKWE WAKE MPYA ANGALIA PICHA HUKO SOUTH AFRICA

Blog Archive

My Website List

Recent

Comments

Simple theme. Powered by Blogger.