MKONGWE
wa muziki wa kizazi kipya nchini, Khalid Mohammed ‘TID Mnyama’ amesema,
yeye ni msanii wa kimataifa tangu siku nyingi ingawa amekuwa hapewi
sapoti anayostahili kupata.
Akizunguza
jijini Dar es Salaam, muimbaji huyo ambaye hivi karibuni alirekodi
wimbo na msanii wa Afrika Kusini, Tumi, amesema kile wanachokifanya
wasanii wapya wanaotaka kwenda kimataifa kwa sasa, yeye alikifanya miaka
mingi iliyopita.
Unajua
kama kufanya muziki kimataifa mimi tayari nilishaenda zamani sana,
maana nikikumbuka video zangu nimeshafanya mahojiano na MTV Base,
Channel O na pia nimefanya kazi na wasanii kutoka Nigeria na Afrika
Kusini
No comments:
Post a Comment