01 October 2014

SABABU ZILIZOFANYA RADIO CLOUDS FM KUSHINDWA KUMTUMIA DIAMOND PLATNUMZ KWENYE FIESTA


Wakati wasanii wakibongo kwa ujumla wao wakihangaika na shoo za Fiesta msimu huu, Diamond ameendelea kujidhihilisha kwamba ni msaanii mkubwa sana kiasi cha jamaa wa Clouds Entertainments kushidwa kumtumia vilivyo mwaka huu kwenye show zao!
Ieleweke kwamba kipindi hiki huwa ni cha neema kwa wasanii nyumbani ambao wengine hufikia kuomba angalau tu wapate fursa japo tu ya kupanda jukwaani kuonana na mashabiki.

Diamond kwa kipindi kirefu sasa amekuwa ni msanii wa Tanzania mwenye show nyingi sana nje ya nchi kiasi kwamba imeshindikana kumbakisha hapa nyumbani kushiriki show za hapa. SOMA ZAIDI>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname