25 October 2014

RAY C AFUNGUKA MAZITO KUHUSU CHID BENZ KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA.

Baada ya msanii Chidi Benz kukamatwa na madawa ya kulevya jana jioni 24 Oct 2014 akiwa njiani kuelekea Mbeya, Ray C ambaye nae alikuwa na matatizo na madawa na sasa ameweza kupona na kuwa msaada kwa waathirka wengine kupitia foundtion yake ya RAY C, amefunguka kupitia ukurasa wake wa Instagram na kuandika ujumbe ufuatao:
By @rayc1982 Pole kaka yangu Chidi Benz, Naumia kuona tatizo uliokuwa nalo bado haujalitaftia jibu unalijua la kutatua tatizo lako,Mimi ni dada yako na tumeshafanya kazi Pamoja,Tatizo ulilonalo na Mimi nilishakuwa nalo na niliweza kulitatua sababu nilijitambua na kutafuta suluhu,nimejaribu kila njia kukushauri badala yake ukaja na rungu la kimasai na kunitandika nalo nyumbani kwangu!nadhani janga hili lililokukuta litakuwa Kama jibu kwakoSOMA ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname