23 October 2014

DIDA NA EZDEN WAKUTANA COCO BEACH WAKAUSHIANA

Khadija Shaibu ‘Dida’ akiwa ndani ya ofisi za Times FM.
WATANGAZAJI wawili waliokuwa wanandoa kabla ya kutengana hivi karibuni, Khadija Shaibu ‘Dida’ na Ezden Jumanne, mwishoni mwa wiki walikaushiana kama watu wasiofahamiana baada ya kukutana katika hafla iliyofanyika katika ufukwe wa Coco jijini Dar es Salaam.
Wawili hao walikutana wakati wa uzinduzi wa video ya wimbo wa Namchukua wa Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ambapo mwanaume alikuwa mshereheshaji huku mke akiwa miongoni mwa wageni waalikwa.SOMA ZAIDI>>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname