03 October 2014

Baada ya P Diddy kusema J Lo anamfunika Kim Kardashian kwa 'makalio', J Lo nae amzungumzia P Diddy

Rapper mkongwe mwenye mafanikio makubwa, P Diddy juzi alimwagia sifa aliyekuwa mpenzi wake enzi hizo Jennifer Lopez akieleza kuwa alikuwa mwenye bahati sana kuwa nae.
 Aliongeza kuwa hata hivi sasa ni mkali na na kwamba ana makalio aka asset bomba zaidi hata ya Kim Kardashian.
J Lo pia amefunguka yake kuhusu P Diddy wakati anaongea na Access Hollywood  na kueleza kuwa alijifunza mengi sana wakati wa uhusiano wao na kwamba amechangia sana katika maendeleo yake kimuziki.
Hivi ndivyo J Lo alivyoeleza:

"We spent three years of our lives together, you know almost every single day,As much as he roots for me and as proud as he is of me and of the time we had together, I, I am just as proud to see what he's done.Seeing him involved in Revolt and all the things that he's done as a business man and still being so true to his music and his art trying to uplift his community in his own way, and it's the same thing that I try to do and I feel like I learned a lot from him coming up, watching him. He gave me so many cues and taught me so many things,' I'll always be grateful to him for that and I love that he can be so supportive of me so many years later and that there's still so much mutual respect, admiration and love there.”

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname