01 October 2014

Angalia Picha Daraja refu kuliko yote duniani linalopita juu ya bahari.


Daraja hilo linaunganisha jiji la Kobe liliko bara na Iwaya iliyoko katika
kisiwa cha Awaji. Daraja hili linajulikana pia kama ‘Pearl Bridge’.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname