30 September 2014

MSANII WA BONGO FLEVA SIDE MNYAMWEZI AFARIKI DUNIA

Muimbaji wa muziki wa Bongo Fleva Said Salim 'Side Boy Mnyamwezi' enzi za uhai wake.
Muimbaji wa muziki wa Bongo Fleva, Said Salim aliyekuwa akitumia jina la kisanii la Side Boy Mnyamwezi amefariki dunia. Side Boy amefariki leo katika Hospitali ya Nyangao iliyopo mkoani Lindi. Aliwahi kutoa nyimbo kadhaa zikiwemo ‘Hujafa Hujaumbika’, ‘Usidharau Usiyemjua’ na ‘Kua Uyaone.’

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname