Mke wa mtu, Mwajuma Prima akiwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro.
Mwajuma Prima amelazwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro baada ya kumwagiwa mwilini sufuria la maharage yalitokuwa yakichemka jikoni, kisa kupeleka maneno ya umbeya kwa mume wa mtu.Tukio hilo la kusikitisha lilijiri juzikati majira ya saa 12:00 jioni ambapo mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Fatuma ndiye anayehusishwa na msala huo uliotokea nyumbani kwake maeneo ya Mtaa wa Ndege, Msamvu mjini hapa. Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo walidai kwamba, siku ya tukio, Fatuma alimshutumu Mwajuma kuwa amekuwa akimwambia mumewe maneno ya umbeya ili kuwatenganisha.
“Huyu Mwajuma anaishi Kihonda, kila baada ya siku tatu anakuja kwenye nyumba hii kumsalimia mama yake mdogo.SOMA ZAIDI>>
No comments:
Post a Comment