KUNDI maarufu
la vichekesho ambalo kwa sasa ni kama halipo, limepata pigo kubwa baada
ya aliyekuwa meneja wao, mtangazaji nyota wa zamani wa televisheni,
Christina Mosha maarufu kama Seven, kuwamwaga na hivyo kuachana nao.
“Hivi sasa niko na Sony, wao wananizuia
kufanya kazi na wasanii ambao hawako nao, hivyo baada ya mkataba wangu
na wao kumalizika, nimeamua kuachana nao.
Aliyekuwa
meneja wa kundi la Ze Comedi, mtangazaji nyota wa zamani wa
televisheni, Christina Mosha maarufu kama Seven akifafanua jambo.
Mimi ni mwakilishi wa Sony barani
Afrika, ninashughulika na wasanii toka nchi tofauti za Afrika, kama
Senegal, Kenya na kwingineko kasoro Afrika Kusini,” alisema
No comments:
Post a Comment