Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja.
Kajala Masanja, ameibuka na kudai kuwa ameweka vitu vyote vya kitoto pembeni likiwemo suala la malumbano na kujikita katika suala la ujasiriamali.Akizungumza na paparazi wetu,Kajala alisema amefanya tathmini na kugundua mastaa wengi wamekuwa wakiambulia umaskini baada ya umaarufu kupotea hivyo ameona ashtuke mapema kwa kufanya biashara mbalimbali ambazo zitamjengea msingi mzuri maishani
No comments:
Post a Comment