Mrembo na staa wa filamu nchini Irene Uwoya amesema
kuwa hakuna vazi asilolipenda kulivaa kama chupi a.k.a kufuli. Irene
amesema hayo alipokuwa akizungumza na magazine maarufu ya burudani ya
VIBE.
Alipoulizwa na mwandishi wa jarida hilo kuwa ni nguo gani ni vigumu kuikuta kwenye kabati lake, “Chupi – sipendi kabisa hilo vazi” Alisema Irene uwoya. Hatari sana hii.
Alipoulizwa na mwandishi wa jarida hilo kuwa ni nguo gani ni vigumu kuikuta kwenye kabati lake, “Chupi – sipendi kabisa hilo vazi” Alisema Irene uwoya. Hatari sana hii.
No comments:
Post a Comment