Mwanadada
mwigizaji na mwanamuziki Zuwena Mohamed 'Shilole' akicheza kwa
kujiachia katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 usiku wa kuamkia
leo.
Staa
kutoka nchini Nigeria, Yemi Alade akipiga shoo usiku huu katika Tamasha
la Usiku wa Matumaini 2014 ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar.
Staa
kutoka nchini Nigeria, Yemi Alade akipiga shoo katika Tamasha la Usiku
wa Matumaini 2014 ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar.
Makamu
wa Rais Mh. Mohamed Gharib Bilali akisalimiana Makamu wa rais
Mh.Mohamed Gharib Bilali akisalimiana na Miongoni mwa matukio
yaliyosisimua kwenye tamasha hilo ni pale mechi za mpira wa miguu
zilipokuwa zikichukua nafasi.
Yemi Alade akipiga shoo.
BONGO MOVIES VS BONGO FLEVAWakati mechi hiyo ilipokuwa ikikaribia kuanza, umati ulilipuka kwa shangwe baada ya kumuona Mfalme wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba alipokuwa alipoonekana akipasha misuli na wenzake.
Nyomi iliyokusanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar kwa ajili ya Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014.Licha ya kufungwa, mashabiki wa Bongo Movies ndiyo walionesha kushangilia zaidi ya mashabiki wa Bongo Fleva ambao ndiyo walikuwa washindi.
Bondia
Mada Maugo amemshushia kichapo bondia Thomas Mashali katika mpambano
wao kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 ndani ya Uwanja wa Taifa
jijini Dar.Wakati wa mechi ya wabunge, vituko ndiyo ilikuwa balaa. Kuna wakati baadhi ya waheshimiwa wabunge walikuwa wamechoka kiasi cha kushindwa kusogea lakini mwisho wa siku ilikuwa ni burudani kwani waliweza kubadilishana, wengine wakachukua nafasi. Hadi mtanange unamalizika, wabunge wa Yanga waliibuka kidededea kwa ushindi wa mabao 3 kwa 2.
Tamasha la Usiku wa Matumaini mwaka huu lilikuwa noma sana!
No comments:
Post a Comment