01 August 2014

- CONRAD ALIYEMUUA AYOUB MLAY KWA BASTOLA AMBROSIA CLUB AONJA JOTO YA JIWE MAHAKAMANI KISUTU

Mtuhumiwa  wa kesi ya Mauaji, Conrad Leo (33)akiwa chini ya ulinzi wa polisi mara baada ya kuachiwa na kukamatwa tena katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam jana.Mtuhumiwa huyo anashitakiwa kwa kosa la kumuua kwa kutumia silaha Ayubu Mlai.


Mtuhumiwa  wa kesi ya Mauaji, Conrad Leo (33)akiwa ndani ya gari ya polisi akipelekwa Mahabusu baada ya kuachiwa na kukamatwa tena katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam .Mtuhumiwa huyo anashitakiwa kwa kosa la kumuua kwa kutumia silaha Ayubu Mlai 

Mtuhumiwa  wa kesi ya Mauaji, Conrad Leo (33)akizibitiwa na Polisi

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname