The Choice

12 July 2014

RAY C ACHEZEA KICHAPO KIKALI TOKA KWA MTUKUTU CHID BENZ.

Rapa mwenye ‘swagger’ za Ja-Rule Bongo, Rashid Makwilo ‘Chid Benz’.
Uonevu! Rapa mwenye ‘swagger’ za Ja-Rule Bongo, Rashid Makwilo ‘Chid Benz’, anadaiwa kukwaa kisanga kingine kibaya baada ya kukurupuka kutoka nyumbani kwake na kwenda kumvamia staa mwenzake, Rehema Chalamila ‘Ray C’ nyumbani kwake anapoishi na kumtwanga makonde ikiwa ni siku chache tangu jamaa huyo apate msala mwigine wa aina hiyo. Ilidaiwa kuwa tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia Alhamisi iliyopita nyumbani kwa Ray C, Changanyikeni jijini Dar es Salaam ambapo ilisemekana kwamba Chid Benz alimvamia mishale ya saa 4:00 usiku kwa gia ya kumsaka mzazi mwenzake aliyemtaja kwa jina moja la Mariam.

Mwanaisha aliyepigwa na Chidi Benz hapo awali.
 CHID BENZ ATAKA KUMUONA MWANAYE

Ilidaiwa kwamba Chid Benz alisema kuwa alizungumza na mpenziye huyo kwamba alitaka kwenda kumuona mwanaye ambapo Mariam alimjibu kwamba kwa muda huo alikuwa nyumbani kwa Ray C  Changanyikeni. Soma zaidi>>>.
Posted by Jason at 10:43
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Comments system

Disqus Shortname

Social Widget

  • Instagram
  • The Choice
  • Twitter

Facebook

Flickr Widget

Boxed Version (yes/no)

IMG Scroll Animation (yes/no)

Widget Recent Post No.

Widget Random Post No.

Widget Recent Comment No.

PageNavi Results No.

Social Media Icons

  • choice

Ola

  • Download New Music
  • New Video
  • Nunua Gari Hapa
  • Contacts
New Video

Bofya hii PICHA kudownload APPLICATION YA The Choice

Bofya hii PICHA kudownload APPLICATION YA The Choice

pin blw

google analytics

Random Posts

Most Recent

Social Media Icons 2

  • The Choice

Contact us

Name

Email *

Message *


Total Pageviews

.

.

.

.

Popular

  • Eggy wa Masogange amlaumu SINTAH kwa kuvujisha video yake ya utupu
  • Exclusive picha za Wema Sepetu na Ommy Dimpoz wakifanya yao kitandani zavuja
  • HII NDO VIDEO YA AGNES MASOGANGE
  • DAU NONO LIMETOLEWA KWA WATAKAO WABAINISHA WALE WALIO MVUA MWANADADA NCHINI KENYA
  • Sakata la mwanafunzi wa KIDATO CHA NNE aliyezalishwa na msanii DIAMOND
  • HATIMAYE MWISHO WA DUNIA UMEKARIBIA..!! FREEMASON WATOA TAMKO KUHUSU MWISHO WA DUNIA HII..!!
  • WEMA SEPETU & AUNT EZEKIEL SHOW THEIR BODIES IN A TOWEL
  • MAONI YA WADAU MBALIMBALI KUHUSU SHINDANO LA MISS TANZANIA 2013
  • VIDEO YA BAIKOKO YAZUA BALAA.MAJIMAMA YAMWAGA RADHI
  • KIFO CHA LANGA KIMEKOLEZA BIFU YA MWANA FA NA LADY JAYDEE, SOMA DONGO LINGINE KUTOKA KWA MWANA FA

Blog Archive

My Website List

Recent

Comments

Simple theme. Powered by Blogger.