02 July 2014

NEWZZ:- BASI LINALOBEBA MAHABUSU LAVAMIWA KWA RISASI DAR ONA TUKIO LA PICHA HAPA

Sasa saa 8.15mchana.Kuna tukio hapa Tmj hospital. Majambazi wakikimbia kwa miguu
wakitokea kwa Nyerere wamelishambulia basi la magereza lilobeba wafungwa na escort ya polisi kwa risasi kadhaa. Askari magereza na polisi wamejeruhiwa na majambazi yametokomea kusikojulikana. Mahabusu wanashangilia hapa na shughuli zote zimesimama hapa 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname