BIG boss wa Kampuni ya Five Effect, William Mtitu
Akizungumza na mwandishi wetu, Mtitu alisema marehemu Recho alikuwa
mtu wa kujitoa katika matatizo mbalimbali ukiwemo msiba wa mume wa
Wastara, Juma Kilowoko ‘Sajuki’ lakini alishangaa kutomuona kwenye
msibani huo na alipomchana laivu akakasirika na kutangaza bifu.“Nilimchana laivu kwani alimkosea marehemu, alipaswa kwenda kwani hakuwa na sababu ya kueleweka zaidi ya kwenda bungeni kitu ambacho angeweza kukiacha kikawakilishwa na mtu mwingine,” alisema Mtitu.Kwenye utetezi wake juu ya kutoonekana msibani, Wastara alisema hakuwa na jinsi kwani alikwenda bungeni mjini Dodoma kuwawakilisha wasanii wenzake


No comments:
Post a Comment