Siku ya Jumatano July 02
ulisikia ugomvi mkubwa kati ya watangazaji wa kipindi cha XXL ambapo
zilisikika kelele za watu kugombana na pia vitu kama chupa kuvunjika leo
kupitia website ya mtangazaji wa clouds fm imeandika kuhusu ukweli juu
ya tukio lilotokea,leo
July 04 wameeleza ukweli juu ya kilichotokea na kusema hii wamefanya
kwa ajili ya kampeni ambayo Clouds Media Group wanaiendesha kwa sasa
waliyoipa jina la Paza Sauti.
No comments:
Post a Comment