02 July 2014

BREAKING NEWS: LORI LA MIZIGO LAPATA AJALI ENEO LA NYOLOLO IRINGA NA KUSABABISHA FOLENI KALI MUDA HUU, ABIRIA WAAMUA KUCHIMBA NJIA YAO.

 Lori hilo likiwa limeziba njia muda huu
 Abiria wakiwa wanajichimbia njia yao ili waanze kupita
 Abiria wakiwa wanaendelea kuchimba njia muda huu
 Magari yameanza kupita porini baada ya kushindikana kutolewa kwa Lori hilo lililoziba Barabara
 Mengine yanakatiza kwenye mashamba ya watu

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname