01 August 2014

Bonge la SONG JIPYA TOKA KWA PROF J..DOWNLOAD na SIKILIZA HAPA ...UNAITWA - TATU CHAFU

 
10560953_512792668822216_699963228_n

Profesa Jay ameachia wimbo wake uliokuwa unasubiriwa na mashabiki wake. Ni wimbo wa Hip Hop ambao unamuwakilisha Jay Hustle ambaye ni Prof aliyekuwa underground mwenye hasira miaka ya 1990 kabla hajatoka.
Ndani pia yumo Nigga J aliyekuwa mshindi wa tuzo ya hip hop akiwa na Hard Blasters Crew (HBC) na Profesa Jay ambaye ni The Heavy Weight MC wa sasa Mr. 'Kipi Sijasikia.'
Wimbo umefanywa katika studio yake ya Mwana Lizombe chini ya Producer Villy

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname