02 July 2014

AZAMA VIDEO IKIMUONESHA EZDEN AKIZUNGUMZIA SABABU YA NDOA YAKE NA DIDA KUVUNJIKA

Khadija Shaibu ‘Dida’ na mumewe, Ezden Jumanne siku ya harusi yao.

Baada ya ndoa ya Mtangazaji wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kupitia Radio Times FM, Khadija Shaibu 'Dida' kudaiwa kuvunjika, mumewe anayepiga mzigo TV1, Ezden Jumanne amefunguka mengi kuhusu sababu za kuvunjika ndoa hiyo. Ili kujua ni nini amezungumza, unganaANGALIA VIDEO HAPA>>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname