MTOTO MWINGINE AFANYIWA UKATILI WA KUTISHA
Mtoto Mwajuma Athuman[6] aliyeokotwa na wanajeshi kambi baada ya kukimbia mateso ukatili anaodai kufanyiwa na mama yake mkubwa Bi,Ashura Omar amefichua siri nzito mbele ya Afisa mtendaji wa kata ya Kingolwira 
Mwenyekiti wa Mtaa Tank la Maji kata ya Kingolwira Bw Mohamed Said akiwa na mtoto huyo
Mtoto huyo akiwa na Makovu aliyodai yametokana na kipigo toka kwa mama yake mkubwaendelea hapa>>>>>>>
No comments:
Post a Comment