
Diamond Platinumz anaiwakilisha Tanzania kwenye tuzo za BET zitakazofanyika huko Los Angeles, Marekani
.
Jana
Diamond akiwa na wasanii wenzake wanaowania tuzo katika kipengele cha
International Act (Africa) walihudhuria party ya utangulizi (BET Pre
Awards VIP Party).







No comments:
Post a Comment