22 May 2014

R.I.P GWAMAKA MWAMAKULA.....CHUO CHA UHASIBU ARUSHA (IAA) WANAKULILIA

Gwamaka Mwamakula Muhitimu Kutoka Chuo cha Uhasibu Arusha Amefariki katika Ajali ya Gari.MarehemuAlikuwa Kikazi Mkoani Manyara Wakati akiwa njiani Kurudi Nyumbani Ndipo alipogongwa na Gari aina ya Fuso na Kufariki
hapoahapo.Mazishi yatafanyika Dara.Taratibu za Kusafirisha Mwili Zinaendelea andelea kuwa nasi kwa taarifa zaidi.
Mungu Ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi Amen

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname