25 May 2014

Ndoa Ya Kanye West Na Kim Kardashian Imefungwa Rasmi Siku Ya Leo, Beyonce Na Jay Z Waipotezea Harusi Hiyo. Tazama Alichopost Beyonce Wakati Ndoa Ikifungwa


Kim Kardashian amekuwa Mrs. West rasmi leo baada ya kufunga ndoa na Kanye West. article-2638252-1E26AF4500000578-868_634x565
Mastaa hao wamefunga pingu za maisha kwenye harusi private iliyofanyika juu ya mlima Fort di Beleverdre huko Florence, Italia mbele za ndugu na marafiki zaoHata hivyo marafiki wakubwa wa Kanye, Jay Z na mke wake Beyonce hawakuwepo kwenye harusi hiyo.


Awali ilisemekana kuwa Jay Z angekuwa mpambe wa Kanye kwenye harusi hiyo kwakuwa wawili hao ni marafiki wa karibu.
article-2638252-1E2BCD2D00000578-859_634x605 Beyonce alipost picha hii muda ambao Kanye na Kim walikuwa wakifunga ndoa

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname