21 May 2014

JESSICA KIKUMBI "ALIYE KUWA MUME WANGU NDIO ANASAMBAZA PICHA ZANGU ONLINE


 
 
"#ULIYONIFANYIA #YANATOSHA #PLEASELEAVE ME ALONE..jamani this is the man aliyekua mumewangu nilizaanae mtoto mmoja. .but as Men are yeye ndo muhusika mkuu wa kusambaza picha zangu kwenye mitandao na kuwalipa mabloger,pia kufungua fake acc fb. sijui anachotaka but without thinking mi ni mama wa mtoto wake. warning ladies dont trust man too much as it might happen to you one day.. jina lake ni #Emmanuelakarosinare. if you read this naomba uache kunichafua kumbuka mi nna ndugu na nina mtoto na ndugu zangu wanaumia sana hasa baba yangu. kupitia hapa nakuomba uniache huru uliyoyafanya yanatosha.... naandika kwa uchungu with tears.. Set me free please." Says Jessica

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname