HATIMAYE PENNY AKANUSHA ILE SKENDO YA KUWA NA MPENZI MPYA
Mwanadada, Penny akanusha kujihusisha na mahusiano na mwanaume mwingine
ikiwa ni muda mchache tangu aripotiwe kuachana na msanii wa muziki wa
kizazi kipya nchini Diamond Platnum.
Mwanadada huyo,ambaye alikanusha vikali tuhuma hizo, kwa madai kuwa
baadhi ya watu wamekuwa wakifwatiria maisha yake kwa kumnyima uhuru
kufanya jambo lolote lile.
No comments:
Post a Comment