20 May 2014

ANGALIA PICHA MAANDALIZI YA KUAGA MWILI WA ADAM KUAMBIANA VIWANJA VYA LEADERS

Mwili wa marehemu Adam Kuambiana utawekwa mahali hapa.
Waombolezaji watakaa mahali hapa.
Eneo hili ndipo mwili wa marehemu Adam Kuambiana utakapoagwa leo asubuhi kabla ya kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname