Na Livingstone Mkoi
Msanii
mkongwe kwenye tasnia ya muziki wa kizazi kipya ameibuka na kusema kuwa
ujio waradio mpya 93.7 Fm imekuja kuwakomboa wanyonge waliokuwa
wametelekezwa kwa kuksa msaada.Akiongea na Xdeejayz kwa njia ya simu mwanamuziki huyo ambae yuko Dar kwa sasa akiandaa kazi zake mpya alisema" Kaka naweza kusema ni kama baraka za Mungu tu kuanzishwa kwa radio hiyo wanyonge wamepata mkombozi kwani vijana wengi walishaanza kufanyakazi kwa sababu ya wanyonyaji wa kazi zao hivyo tunaamini 93.7 Fm ndiyo suluhisho letu wanamuziki" Alisema Afande Sele
No comments:
Post a Comment