Gazeti
La Makorokocho limefanikiwa kudaka ujumbe mfupi wa maneno kutoka kwa
Msanii Mkongwe wa Bongo Flava Afande sele uliokua umekusudiwa kwenda kwa
mama watoto wake Bibie Asha a.k.a Mama Tunda
waliyeishi kwa zaidi ya miaka 10 ujumbe huo ulipotea njia na kuangukia
kwenye Mikono ya Snitch Mzuri wa Makorokocho, katika Ujumbe huo
inaonekana Mama Tunda alikua anataka kwenda kwa Afande Sele pamoja na
Watoto lakini Afande akawa anamsihi asiende kwa sababu atakua nje ya
Mkoa wa Morogoro na Afande akamlaumu mwanadada huyo
anayeitwa Asha kuwa amempotezea Muda, Mali na Nguvu zake nyingi sana kwa
muda wote walioishi pamoja, Afande akaombwa aachwe alone. -SOMA ZAIDI
No comments:
Post a Comment