Baadhi ya washiriki wakielekezwa cha kufanya mara baada ya kupita kwa majaji
Majaji wa
mashindano ya kusaka vipaji vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama
Tanzania Movie Talents wakiwa makini kutazama kipaji kilichokuwa
kikionyeshwa na mmoja wa washiriki (hayupo pichani) wakati alipofika
kuonyesha kipaji chake, Kushoto ni Jaji Mkuu Roy Sarungi, akifuatiwa na
Ivon Chery (Monalisa) na Single Mtambalike (Rich Rich)
Mmoja wa
washiriki waliofika kwaajili ya kuonyesha vipaji akiwa mbele ya meza ya
majaji akionyesha uwezo wake wa Kuigiza wakati wa mashindano ya
Kuonyesha Kipaji cha kuigiza
Mmoja wa
kijana mwenye umri mdogo kabisa akivalishwa namba kwaajili ya kushiriki
kwenye shindano la kusaka vipaji vya uigizaji Tanzania lijulikanalo kama
Tanzania Movie Talents ambapo kwa siku ya leo limefunga sehemu ya
usaili
Baadhi ya vijana waliofika leo kwaajili ya kushiriki katika shindano la kusaka vipaji vya uigizaji Tanzania
Kipaji.
No comments:
Post a Comment