06 April 2014

RICH MAVOCAL - ROHO YANGU OFFICIAL VIDEO HD 720, ITAZAME HAPA

Rich Mavoko alianza kutoa vipande vya video hii muda mrefu sana kwenye account yake ya instagram lakini baada ya muda wote huo hatimaye ameitoa video nzima.
Story kubwa ya hii video ilikua ni Rich Mavoko kukodisha camera ya gharama kutoka Kenya na kwa ajili ya ku-shoot video hii

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname