30 April 2014

NEY WA MITEGO AJITOKEZA NA KUJIBU SHUTUMA ZA KUMTEKA MSICHANA



April 14 zilizotoka taarifa juu ya kutekwa kwa msichana mmoja aitwae Neema ambaye ni miongoni mwa watu wanaosemekana walimtukana Ney na Mpenzi wake kupitia akaunti zao za
Instagram,Neema alipatikana na kuzungumzia hii bahati mbaya Ney hakuwa nchini aliporudi Soud Brown kaongea nae na hiki ndicho alichokisema.

Bonyeza play kusikiliza

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname