12 April 2014

MSAANI DRAKE AWAFANYIA MAAJABU WANANCHI

dfff 
Msanii Drake amejibadilisha muonekano wake na kuingia mtaani na kuanza kuwaoji watu bila ya wao kujua kama ni Drake ndio anawaoji, ni baada ya kuweka ndevu na sharubu pamoja na kuvaa wigi kichwani, Ni mara ya kwanza ya msanii huyu kufanya jambo kama hili.
 
Screen Shot 2014-04-12 at 12.59.02 PMddddddddddddddddddddddd

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname