
"Ndugu Ismail Jussa amefanya mambo mawili makubwa ambayo historia itakuja kumuhuku
MOJA ajitokeza hadharani kuhalilisha ufalme wa kisultani Zanzibar, ajue aliyekuwa sultan wa mwisho zanzibar Jamshid hatakaa kurudi kuitawala Zanzibar, na hata vibaraka wake hawataweza daima milele kuitawala Zanzibar kwa fitna ya aina yeyote.
PILI- ubaguzi wa kumbagua na kumpuuza mjumbe mwenzake BMK ndugu Amon (mlemavu wa macho) hili jambo baya historia itakuja kumhukumu..ubaguzi wa kumbagua mtu ni ubaguzi hatari katika ustawi wa taifa hasa katika makundi maalum."
ZANZIBAR KWANZA ,,TANGANYIKA BAADAE , KAMA HUJUWI MAANA YAKE SULTANI MWEUSI MWISHO KUTAWALA ZANZIBAR,,,MAANA YAKE NI TANGANYIKA KUITAWALA ZANZIBAR KIMABAVUU
ReplyDelete