07 April 2014

MFANYABIASHARA WA BUCHA AMCHARANGA MAPANGA MFANYAKAZI WAKE BUCHANI

SUNDAY MWAMBELO BAADA YA KUCHARANGWA MAPANGA NA BOSI WAKE NDANI YA BUNCHA ENEO LA SAE JIJINI MBEYA

Ndugu jamaa na marafiki wa Sunday Mwambelo wakimjulia hali katika hospitali ya rufaa Mbeya alikolazwa baada ya kucharangwa mapanga na bosi wake aliyefahamika kwa jina la Simon Njangaje
Sunday Mwambelo akijuliwa hali na dada yake Never Mwambinga katika hospitali ya Rufaa Mbeya alikolazwa baada ya kucharangwa mapanga na bosi wake
ANGALIA PICHA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname